Babu Tale atoboa siri ya maisha yake ndani ya WCB ‘Sijaenda shule lakini sijawahi kujutia’ (+video)
Babu Tale amesema kuwa licha ya kukosa elimu ya darasani lakini katika familia yao amelelewa katika misingi ya dini na ndiyo maana pengine amefika hadi hapo alipo kwa sasa.
Akizungumzia kazi yake kubwa ndani ya WCB amesema kuwa yeye ni HR (Human Resource) na ana-play role kubwa pia kwenye kutoa ushauri na mawazo ndani ya WCB kwani hapendi maneno maneno.


Comments
Post a Comment