Skip to main content

Posts

Featured

Kocha kafunguka kuhusu Alikiba kutocheza Coastal Union Licha ya Kusajiliwa

Baada ya club ya Coastal Union ya Tanga kumsajili staa wa Bongofleva Alikiba katika timu hiyo kwa ajili ya msimu wa 2018/2019 wa Ligi Kuu soka Tanzania bara, mashabiki wengi walitamani kumuona anacheza mechi za ushindani akiwa na timu hiyo. Coastal Union hadi sasa imecheza mechi tano za Ligi Kuu bila uwepo wa Alikiba katika kikosi ikiwa imeshinda mechi moja, sare tatu na imepoteza mchezo mmoja ila wengi wameuliza mbona staa huyo haonekani akiichezea timu hiyo mechi za ushindani. Kocha mkuu wa Coastal Union Juma Mgunda amelizungumzia suala hilo “Alikiba ni mchezaji wa Coastal Union amesajiliwa kwa uwezo wake wa kucheza, tuna zaidi ya mechi 30 mbele za mashindano na hakika muda ukifika Alikiba atacheza tu, sababu Ali hadi sasa yupo katika list ya wachezaji zaidi ya 12 ambao bado hawajaanza kuitumikia Coastal Union”

Latest Posts

Lowassa Atuma Salamu za pole Ajali ya MV Nyerere

Papa Fransisco Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Ajali ya MV Nyerere

Picha na Video Chafu Instagram Kumpandisha Sister Fey Mahakamani..Akamatwa

Sister Fey Awaangukia Watanzania

Wema Ajibu Tuhuma za Kuonekana na Roma Hotelini.

Babu Tale Ataja Kufanya Kazi Hii Endapo Asingekuwa Meneja wa Daimond

Kajala Awatolea Uvivu Wanaomjadiri Maisha Yake na Safai Zake za Nje ya Nchi

Babu Tale Afunguka Kuhusu 'In love and Money Tour’ ya Vanessa na Jux ''Imetupa Changamoto Wasafi Festival''

Rostam Wawaenzi Mwl. Nyerere na Kingunge Waachia Wimbo wa Parapanda

Shilole ni Ndugu Yangu Kabisa Hatuelewani Chanzo Nuh Mziwanda ndo Alotugombanisha- Khadija Ziota