Kamanda wa 'Watapata Tabu Sana' Kupata Dili la Matangazo?



Mitaa na mitandao imechafuka kwa msemo wa #WatapataTabuSana ambao ulisemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,RPC G Muroto na kupewa umaarufu na (#Shilawadu)

Sasa Kamanda huyo amezungumza na  kusema kwamba anaweza kutoa msemo mwingine wakati ukifika. Ameongeza kwamba ikitokea kuna watu wanataka kufanya naye 'dili' (mfano matangazo) labda anaweza kufanya kwa kushauriana na Mkuu wa Jeshi la Polisi.

Comments