Baada ya Kupewa Nyumba Tanzania, Leo Rosa Ree Kapewa Gari Aina ya Benz Huko South Africa
Habari za kunyapia nyapia nilizozipata Leo ni kuwa ile Lebo ya Muziki iliyompa Rosa Ree nyumba ya Million 400, Leo tena wamemkabithi gari aina ya Benzi kwa ajili ya kutumia akiwa nchini South Africa, Mwenye amedhibitisha hilo kwa kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram
Rosa Ree kwa sasa yupo South Afrika ambapo atakuwepo huko kwa muda kuutangaza mziki wake


Comments
Post a Comment